Ticker

6/recent/ticker-posts

BALOZI MDOGO WA CHINA ZANZIBAR ATIMIZA AHADI YAKE YA KUKABIDHI MIKOBA 100 YA SKULI KWA TAASISI YA MAMA MARIAM MWINYI YA ZMBF.


MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, alipofika katika Ofisi za (ZMBF) migombani kwa mazungumzo na kukabidhi mikoba 100 ya Skuli ikiwa ni ahadi yake aliyoitowa wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa (ZMBF) hafla hiyo iliyofanyika leo 28-3-2023 katika ofisi za taasisi hiyo migombani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa Mikoba 100 ya Skuli na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng ikiwa ni ahadi yake aliyoitowa wakati wa Maadhimisho ya mwaka mmoja wa Taasisi hiyo (ZMBF) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za (ZMBF) migombani Wilaya ya Mjini Unguja leo 28-3-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments