Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akifungua Mlango kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali wa Taasisi ya T-marc wakishuhudia uzinduzi huo,pia akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri(wa nne kulia). [Picha na Ikulu] 22/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akipokea "Zawadi ya Upendo na Maendeleo ya Vijana" kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri(wa pili kulia) Makamo Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Bw.Alex Mgongolwa. katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 22/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali walihudhuria (kulia)Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said. [Picha na Ikulu] 22/2/2023.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,(kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 22/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiwasalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.(wa tatu kulia)Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri [Picha na Ikulu] 22/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia)na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Chomoka Program Care International in Tanzania,Ndg.Steven Hamis Milambo, wakati walipotembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri .[Picha na Ikulu] 22/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakifuatana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi (kushoto) akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri, baada ya kutembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 22/2/2023.
0 Comments