Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) wakifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakifurahia Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan,wakifuatana na baada ya mazungumzo mafupi katika hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga.[Picha na Ikulu] 20/2/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar(katikati) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga.[Picha na Ikulu] 20/2/2023.
0 Comments