Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments