Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abdallah Hamis Ulega kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Christina Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Francis Kasabubu Michael kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha David Ernest Silinde kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Pauline Gekul kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Deogratius Ndejembi kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Geophrey Mizengo Pinda kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamis Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Gerald Geofrey Mweli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mohammed Khamis Abdulla kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Carolyne Ignatius Nombo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kheri Abdul Mahimbali kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Seif Shekalaghe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Juma Selemani Mkomi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Samwel William Shelukindo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Uwekezaji) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Agnes Kisaka Meena kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Lucy Dominico Kabyemera kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Cyprian Luhemeja kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Lucy Dominico Kabyemera kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Athuman Selemani Mbuttuka kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Daniel Elius Mushi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Franklin Jasson Rwezimula kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Elimu ya Msingi na Sekondari) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sospeter Mambile Mtwale kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Anderson Mutatembwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Hussein Mohamed Omar kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Selestine Gervas Kakele kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Kamishna wa Maadili Jaji Mhe. Sivangilwa Mwangesi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka katika picha ya pamoja na Naibu Mawaziri walioapishwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Kamishna wa Maadili Jaji Mhe. Sivangilwa Mwangesi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu walioapishwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Kamishna wa Maadili Jaji Mhe. Sivangilwa Mwangesi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka katika picha ya pamoja na Naibu Makatibu Wakuu walioapishwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.

Post a Comment

0 Comments