Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI YA TEKNOLOJIA YA MADRASA, INDIA ( IITM)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msaidizi Balozi wa India, Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, katika Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) kutoka India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.[Picha na Ikulu] 14/02/2023. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, alipokuwa akitoa salamu za ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM)ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.[Picha na Ikulu] 14/02/2023. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, alipokuwa akiutambulisha Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 14/02/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 14/02/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 14/02/2023.

Post a Comment

0 Comments