RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake Bi.Maria Shaw-Barragan Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Afrika, Caribbean,Pacific,Asia na Latin America na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini na Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Manfredo Fanti, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros,mazungimzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros(kulia kwa Rais) na Ujumbe wake na Viongozi wa Serikali baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Da es Salaam leo 24-2-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments