Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Nchini Kuwait wa Taasisi ya “Children’s Heart Charity Association” Dr. Faisal Al-Saedie (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-2-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Nchini Kuwait wa Taasisi ya “Children’s Heart Charity Association” ukingozwa na Kiongozi wa Ujumbe huo Dr.Faisal Al Saedie (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-2-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Nchini Kuwait Dr. Faisal Al Saedie na Dr.Hesham Menshawy, wa Taasisi ya “Children’s Heart Charity Association ” ,baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-2-2023, Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments