Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (hawapo pichani) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ikulu] 08/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa nne kushoto) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ikulu] 08/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mkugenzi Mtendaji wa Wakala wa Uwezeshaji wananchi Kiuchumi Zanzibar Ndg.Juma Amour (wa pili kulia)akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ikulu] 08/02/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar chini Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Juma Amour (wa tatu kushoto aliokaa) baada ya kujitambulisha leo walipofika Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/02/2023.
0 Comments