Ticker

6/recent/ticker-posts

CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI IDARA YA MAMBO YA NJE CPC

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang (kushoto) leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC )Komredi Li Mingxiang (kulia) Vitabu Vya Itikadi ya Chama Cha Mapinduzi na Fikra za Mwalimu Nyerere leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongoza mazungumzo na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China(CPC) Komredi Li Mingxiang pamoja na ujumbe wake leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang (kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo leo tarehe 26 Februari 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

Post a Comment

0 Comments