Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AFUNGUA SKULI YA MSINGI YA MWANAKWEREKWE ILIYOJENGWA NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KWA FEDHA ZA UVIKO 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Maabara ya Kisasa mara baada ya kufungua Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia umahiri wa Wanafunzi wa somo la Kompyuta katika Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe mara baada ya kuifungua kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Darasa la Saba wa Skuli ya Mwanakwerekwe wakati akikagua Madarasa ya Skuli hiyo mara baada ya Sherehe za ufunguzi zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe mara baada ya kuifungua kwenye Sherehe zilizofanyika Mwanakwerekwe, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2023.

Post a Comment

0 Comments