Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba Iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika le Fedha Duniani IMF,katika maadhimisho ya Sherehe za shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kiufungua Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba Iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika le Fedha Duniani IMF,katika maadhimisho ya Sherehe za shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/01/2023.
0 Comments