Waziri Mkuu Mheshmiwa Kassim Majaliwa alipotembelea na kukagua kampuni ya Jitegemee Holding inayochimba makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro Kata ya Ruanda wilayani Mbinga na kuridhishwa na kushamiri kwa biashara ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Jitegemee katika eneo la mauzo ya makaa ya mawe bandari ya nchi kavu kijiji cha Paradiso wilaya ya Mbinga
MGODI wa makaa ya mawe wa Kampuni ya Jitegemee Holding katika kijiji cha Ntunduwaro wilayani Mbinga
0 Comments