Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.SAMIA AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA UWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI JIJINI WASHINGTON

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara wa Marekani kuhusiana na Sekta ya Uwekezaji nchini Tanzania katika Mkutano uliofanyika Jijini Washington DC nchini Marekani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mtendaji na Mkuu wa Mambo ya Kimataifa wa Chemba ya Biashara ya Marekani Myron Brilliant (wa pili kutoka kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Marekani Dkt. Elsie Kanza (wa kwanza kushoto) kabla ya kuanza Mkutano wa Uwekezaji na Wafanyabiashara Jijini Washington nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo Jijini Washington nchini Marekani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Bw. Chris Toth, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Varian, inayosughulikia Utafiti wa maradhi ya saratani, usambazaji wa vifaa na utoaji Jijini Washington nchini Marekani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Chris Toth, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Varian akiwa na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo, Jijini Washington nchini Marekani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper Jijini Washington nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani

Post a Comment

0 Comments