Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI ASHIRIKI MAZIKO YA SHEIKH ALI RIJALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia udongo kama ishara ya kumzika Marehemu Sheikh Ali Rijali alipojumuika na Viongozi,Waislamu na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika maziko ya Sheikh Rijali yaliyofanyika leo Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 20/12/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wanafamilia ya Marehemu Sheikh Ali Rijali mara alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Bambi kwa ajili ya kuswalia Mwili wa marehemu huyo aliyefariki na kuzikwa katika Kijiji cha Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 20/12/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika swala ya maiti ya Marehemu Sheikh Ali Rijali katika msikiti wa Ijumaa Bambi ambapo amezikwa katika Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 20/12/2022.

Post a Comment

0 Comments