Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho wakati akifunga mkutano huo uliofanyika kwa siku mbili kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 08 Desemba, 2022.
0 Comments