Ticker

6/recent/ticker-posts

MESSI MCHEZAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2022



NA EMMANUEL MBATILO

Mchezaji wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Argentina ameibukwa kuwa mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kufanikiwa kuisaidia timu yake ya Taifa kutinga Fainali na kunyakua kombe la michuano hiyo ambayo imepigwa nchini Qatar.

Messi pia amefanikiwa kushika nafasi ya pili kwa wafungaji wa mabao kwenye michuano hiyo akiwa na mabao saba  huku Klyian Mbape akiibuka kuwa mfungaji bora akiwa na mabao nane.

Post a Comment

0 Comments