Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Dkt. Harrison Mwakyembe, Viongozi wa Chuo pamoja na wahitimu mbalimbali kuelekea katika Viwanja vya Mahafali vya Chuo hicho kwaajili ya kuongoza Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo tarehe 03 Desemba 2022 Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari yaani Doctor of Science (Honoris Causa) Prof. Charles Fordham Von Reynwakati wakati wa Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili leo tarehe 03 Desemba 2022 Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwatunuku wahitimu mbalimbali Shahada za Uzamivu wakati wa Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili leo tarehe 03 Desemba 2022 Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na wahitimu wa Shahada za Uzamivu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili mara baada ya kukamilika kwa Mahali ya Chuo hicho yaliofanyika Jijini Dar es salaam
0 Comments