Mchezaji anaekiputa kwenye klabu ya Benfica ya nchini Ureno na timu ya Taifa ya Argentina Enzo Fernandez ametangazwa kuwa mchezaji bora kijana michuano ya Kombe la Dunia 2022 iliyomalizika kwa timu ya Taifa ya Argentina kuibuka washindi na kunyakua kombe hilo mbele ya mabingwa watetezi Ufaransa.
Fernandez ameweza kuisaidia timu yake ya Taifa kubeba kombe hilo akiwa pia na mabao manne kwenye michuano hiyo.
0 Comments