Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa China leo Jijini Dar es Salaam, kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin kilichotokea Novemba 30, 2022
0 Comments