Ticker

6/recent/ticker-posts

DC MBONEKO AZINDUA KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA NNE SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akifurahia jambo na wazazi wakati akiwawekea alama watoto mapacha baada ya kuwapatia matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko amezindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 ambapo Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano wapatao 521,025 watapatiwa matone ya kuzuia ugonjwa wa Polio mkoani Shinyanga.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko amezindua Kampeni ya Chanjo ya Polio Awamu ya Nne kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Sophia Mjema leo Alhamisi Desemba 1,2022 katika Zahanati ya Kitangili kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.

Akiongozana na Kamati ya Uratibu wa Chanjo Wizara ya Afya na Manispaa ya Shinyanga, Mhe. Mboneko ametoa matone ya chanjo ya polio kwa watoto walio chini ya miaka mitano nyumba kwa nyumba katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.

“Chanjo hii ni ya matone siyo ya sindano. Chanjo hii ni salama na inatolewa bure. Chanjo zipo za kutosha kila mtoto atapatiwa, tutapita nyumba kwa nyumba na kwenye maeneo ambako kuna mikusanyiko ya watoto. Wazazi na walezi hakikisheni watoto wote walio chini ya miaka mitano wanapata chanjo ili kuwakinga na ugonjwa wa kupooza wa polio”,amesema Mboneko.

Kwa mujibu wa Mratibu wa Chanjo mkoani Shinyanga Timothy Sosoma, amesema Mkoa wa Shinyanga umeshapokea jumla ya dozi ya chanjo ya Polio 614,800 na walengwa wote watafikiwa na timu ya wataalam 1,021 lengo ni kufikia idadi ya watoto 521,025 ili kuwakinga watoto dhidi ya ugonjwa wa Polio.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (katikati) akiongozana na viongozi mbalimbali kuelekea katika kaya za wananchi wa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kutoa  matone ya chanjo ya polio wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba iliyoanza Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (katikati) akiongozana na viongozi mbalimbali kuelekea katika kaya za wananchi wa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kutoa  matone ya chanjo ya polio wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba iliyoanza Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza na wakazi wa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akimpatia mtoto matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga. 
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akifurahia jambo na wazazi wakati akijiandaa kuwapatia watoto matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga. 

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akiweka alama kwenye nyumba baada ya kuwapatia watoto matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akimpatia mtoto matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akimpatia mtoto matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akifurahia jambo na wazazi wakati akijiandaa kuwapatia watoto matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akimwekea alama mtoto baada ya kumpatia matone ya chanjo ya Polio katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.

Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.
Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne itakayofanyika nyumba kwa nyumba kuanzia Desemba 1,2022 hadi Desemba 4,2022 mkoani Shinyanga.
Wadau wakipiga picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko baada ya uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya Nne mkoa wa Shinyanga.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Post a Comment

0 Comments