Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Hamad Rashid akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Bodi ya Uongozi wa Chama hicho jijini Dar es Salaam.
********************
Na Magrethy Katengu
CHAMA cha Alliance for Demecratic Change (ADC) kimeipongeza . Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhakikisha zinadhibiti mfumuko wa bei ya Mafuta ikiwemo Petrol Dizel
Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Hamad Rashid akifungua Mkutano wa Bodi ya Uongozi wa Chama hicho uliofanyika jijini Dar es Salaam amesema kwamba kila siku kumekuwepo na kupata kwa mfumuko wa bei licha ya juhudi kubwa inayofanywa na Serikali ya kuudhibiti ikiwemo kutoa ruzuku kwa bidhaa mbalimbali ikiwemo mafuta.
“Tunaiomba BoT ihakikishe bei ya Chakula inarudi pale ilipokuwa awali ya shilingi kati ya 1900 na shilingi 2000 kwani kwa kupanda huku kunatufanya kurudi kwenye umasikini kwani kati
0 Comments