Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili kijiji cha Bweleo jimbo la Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani leo kwa kikundi cha "Ukweli ni Njia Safi Bweleo" . .[Picha na Ikulu] 07/11/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (katikati) alipokuwa akitoa Hutuba yake kwa Wananchi wa Bweleo jimbo la Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi wakati alipofanya ziara ya kukabidhi vifaa mbali mbali ya Kilimo cha zao la Mwani,kwa kikundi cha "Ukweli ni Njia Safi Bweleo" (kulia)Mwenyekiti wa kikundi cha "Ukweli ni Njia Safi Bweleo" Bi. Safia Hashim Makame na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "B"Mhe Hamida Mussa Khamis .[Picha na Ikulu] 07/11/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF",(kulia) akimkabidhi Mashine ya kusagia Mwani Mwenyekiti wa kikundi cha "Ukweli ni Njia Safi Bweleo" Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Bi. Safia Hashim Makame (katikati) wakati akiwa katika ziara ya kugawa vifaa vya Mwani leo,wengine kushoto) Mwakilishi wa Jimbo la Dimani Mhe.Mwanaasha K.Juma, akiwepo na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "B"Mhe Hamida Mussa Khamis,[Picha na Ikulu] 07/11/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF",(kushoto) akiangalia bidhaa mbali mbali za zao la mwani alipotembelea katika duka la kikundi cha "Ukweli ni Njia Safi Bweleo" (kulia) Mwenyekiti wa kikundi Bi. Safia Hashim Makame akiwa katika ziara ya kugawa vifaa vya Mwani leo.[Picha na Ikulu] 07/11/2022.
0 Comments