Ticker

6/recent/ticker-posts

KATIBU MKUU KUKABIDHIWA OFISI YA RAIS.

Katibu Mkuu Mpya Ndg,Saleh Juma Mussa (kushoto) aliyeteuliwa hivi karibuni akikabidhiana Ofisi na aliyekuwa katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Masoud Hussein Ali aliyekuwa katibu wa Ofisi ya Rais -Ikulu,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano ofisini hapo.[Picha na Ikulu] 14/11/2022.

MAAFISA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi baina ya Katibu Mkuu Mpya Ndg,Saleh Juma Mussa aliyeteuliwa hivi karibuni na Masoud Hussein Ali aliyekuwa katibu wa Ofisi ya Rais -Ikulu,katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano ofisini hapo [Picha na Ikulu] 14/11/2022.

Post a Comment

0 Comments