Ticker

6/recent/ticker-posts

AZIZ KI AIPELEKA YANGA SC HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO


NA EMMANUEL MBATILO

KLABU ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho baada ya kufanikiwa kuwaondoa Club Africain kwa jumla ya bao 1-0.

Bao la Yanga Sc limefungwa na Aziz Ki ambaye aliingia kipindi cha pili ba kufanikiwa kuachia shuti kali ambalo lilimshinda kipa wa Club Africain mlna kutinga nyavuni.

Yanga Sc ilikuwa inahitaji sare yoyote ya magoli iweze kufanikiwa kufuzu kwani mechi ya kwanza Yanga Sc akiwa nyumbani alilazimisha sare ya bila kufungana (0-0).

Post a Comment

0 Comments