Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Mhe. Elias Mpedi Magosi, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Mhe. Elias Mpedi Magosi pamoja na ujumbe wake, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments