Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF (katikati) leo amefanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Taasisi ya Rocke Feller Bw,Andrew Sweet(wa tatu kushoto) katika kuiwesha na kusaidia mfumo wa kutoa Chanjo ya Covid -19 kwa Wilaya ya Magharibi "A" na Kaskazini "A" Unguja . [Picha na Ikulu] 25/10/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF (kulia) akizungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Rocke Feller unaoongozwa na Makamo wa Rais wa Taasisi hiyo Bw,Andrew Sweet(wa pili kulia) katika kusaidia na kuwezesha mfumo wa kutoa Chanjo ya Covid -19 kwa Wilaya ya Magharibi "A" na Kaskazini "A" Unguja,mazungumzo hayo yalifanyika leo katika Ofisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF Migombani. [Picha na Ikulu] 25/10/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF (kushoto) abadilishana mawazo na Makamo wa Rais wa Taasisi ya Rocke Feller Bw,Andrew Sweet mara baada ya leo mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ofisi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF iliyopo Migombani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,mazungumzo hayo yaliyoashiria katika kuiwesha na kusaidia mfumo wa kutoa Chanjo ya Covid -19 kwa Wilaya ya Magharibi "A" na Kaskazini "A" Unguja . [Picha na Ikulu] 25/10/2022.
0 Comments