Ticker

6/recent/ticker-posts

TBS YAENDELEA NA ELIMU KWA UMMA ILEMELA

Mkaguzi (TBS), Bw. Nelson Mugema akitoa elimu kuhusu umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora na usalama wake na TBS sambamba na kuzingatia muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa kwa wananchi waliokuwepo katika gulio la kona ya bwiru wilayani Ilemela, wakati wa kampeni ya elimu kwa umma katika ngazi ya wilaya mkoani Mwanza. Mkaguzi (TBS), Bw. Nelson Mugema akitoa elimu kuhusu umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora na usalama wake na TBS sambamba na kuzingatia muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa kwa wananchi waliokuwepo katika gulio la kona ya bwiru wilayani Ilemela, wakati wa kampeni ya elimu kwa umma katika ngazi ya wilaya mkoani Mwanza.

Post a Comment

0 Comments