Ticker

6/recent/ticker-posts

NAIBU WAZIRI ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis akipata maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali – Mtumba kutoka kwa Mhandisi Sajid Lukizo wa Suma JKT. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Novemba 2023 na utagharimu kiasi cha Bilioni 18.8 na ujenzi wake umefikia asilimia 38 mpaka sasa. Wengine katika picha ni Kamati ya ujenzi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza na Mkandarasi na Kamati ya ujenzi mara baada ya kukamilisha zoezi la ukaguzi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali – Mtumba kutoka kwa leo 16/09/2022. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Novemba 2023 na utagharimu kiasi cha Bilioni 18.8 na ujenzi wake umefikia asilimia 38 mpaka sasa.

Post a Comment

0 Comments