Ticker

6/recent/ticker-posts

MOSES PHIRI AENDELEA KUONESHA BALAA LAKE, SIMBA SC IKIICHAPA NYASA BIG BULLETS 2-0



**********************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KLABU ya Simba imefanikiwa kutinga hatua inayofuata Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufanikiwa kuichapa Nyasa Big Bullets mabao 2-0 na kufikia jumla ya mabao 4-0 baada ya mechii ya kwanza Simba Sc akiwa ugenini kupata mabao 2-0.

Simba Sc imepata mabao kupitia kwa Moses Phiri ambaye amepachika mabao yote mawili na kuiwezesha timu yake kutinga hatua inayofuata Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba Sc inatinga hatua inafuata na kuungana na wenzake Yanga Sc ambao nao jana walifanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwachapa Zalan Fc kwa jumla ya mabao 9-0.

Post a Comment

0 Comments