Ticker

6/recent/ticker-posts

USHINDI MTAMU: BONDIA YUSUF LUCASI CHANGALAWE APONGEZWA KWA KUTWAA MEDALI YA SHABA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA

Bondia Yusuf Lucasi Changalawe akipongezwa na mama mshabiki wa Team England baada ya kutwaa medali ya Shaba leo katika ukumbi wa NEC jijini Birmingham, Uingereza.
Bondia Yusuf Lucasi Changalawe akipongezwa kwa kutwaa medali ya Shaba leo na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt Asha Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamadun, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu, Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na Mkuu wa Msafara wa Team Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola (TOC), Henry Tandau, Naibu Katibu Mkuu TOC Suleiman Mahmoud Jabir, Kocha wa Ndondi wa Timu ya Taifa Timothy Kingu na Mabondia Isendi na Kassim Selemani Mbundwike.

Post a Comment

0 Comments