
Wananchi wa Kijiji cha Sawala Mufindi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika eneo hilo kwa ajili ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegeya Mkoani Iringa tarehe 11 Agosti, 2022.
0 Comments