RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiendesha gari ya michezo (Ballcut) baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kiwanja cha michezo cha " The Legend Sports Center " kichongengwa katika eneo la Kombeni Kisakasaka Wilaya ya Magharibi "B" Unguja wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo kutembelea ujenzi wa Miradi ya Maendeleo leo 17-7-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments