Ticker

6/recent/ticker-posts

MAOMBI YA MSAADA WA NAULI KWA AJILI YA MATIBABU NJE YA NCHI


Bw Majaliwa Lugusha,

KIASI CHA SHILINGI 7,880,060 /= Kwa jina naitwa Majaliwa Lugusha, naishi Mtoni Kijichi wilaya ya Temeka mkoa wa Dar es Salaam.

Kama Namba yangu ya Mpesa : 0758 070 424 kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi nasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu yapata ( Milioni saba laki nane themanini elfu na sitini tu ).

Ndugu yangu mpendwa , madaktari wangu, atimae wameniita kwenda kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu ya ziada na ndani Niliendelea kutafuta hospitali mbalimbali kwa matibabu ya ziada juu ya tatizo langu na atimae niliwasiliana na hospitai inaitwa Mayo Clinic nchini Marekani ambapo baada ya mawasiliano nao hali yangu iliendelea kuwa mbaya mpaka imefikia sasa hivi siwezi kufanya kazi tena na viungo vyangu vyote. Nimefanikiwa kupata rafiki yangu ambae amehaidi kunilipia gharama za matibabu tu ukiachilia gharama za tiketi ya ndege na kujikimu kwangu na anaenisindikiza.

Hivyo basi ndugu yangu naandika waraka huu na kufanyiwa matibabu ikiwemo upasuaji mkubwa mara mbili pasipo mafanikio kwa asilimia kubwa.

Hali Akaunti : CRDB – 0152539487200 , Hussein Lugusha kwako kukuomba msaada wa kiasi chochote uichonacho ili kiweze kunisaidia kusafiri kwenda Marekani Ndugu yangu, kama vitahitajika viambatanisho vyovyote tafadhali naomba usisite kunitaarifu kwa uhakiki.

Natanguliza shukurani zangu za dhati kwako kwa huruma na upendo wako, mwenyezi MUNGU akubariki ya wiki 12 niwe nimeishawasili Marekani kuonana na daktari. Nimekuwa nikihudhuria hospitali mbalimbali kama vile Moi, Hindu Mandal, Tumaini, Regency, Muhimbili miaka mingi sasa. miaka 16 sasa muda mrefu na kuzichunguza taarifa zangu za matibabu nilizofanyiwa awali kwa kina kutoka kwa sana.

kuishi katika maisha magumu sana. kuathirika mpaka kufikia kuwa na ulemavu na hivyo kushindwa kabisa kujikimu kimaisha na kusababisha kwa ajili ya matibabu ya ziada nikiwa na imani kuwa utakuwa ndio mwisho wa mateso nayoyapata kwa ASANTE SANA

Post a Comment

0 Comments