*********************
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof Joyce Ndalichako amekutana na kuzungumza na Menejimenti pamoja na Watumishi wa ofisi hiyo, leo tarehe 20 Juni, 2022 katika ukumbi wa ofisi yake uliopo Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Wakati wa kikao hicho Mhe. Prof Ndalichako amendelea kusisitiza watumishi wake kufanya kazi kwa ushirikiano ufanisi na waledi.
0 Comments