**********
Klabu ya Simba imemtangaza Zoran Manojlovic (Zoran Maki) raia wa Serbia 🇷🇸 kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukua mikoba ya Pablo Franco.
Maki amesaini mkataba wa mwaka mmoja ana leseni ya UEFA Pro amezinoa timu mbalimbali Afrika ikiwemo Wydad, Al Hilal na CR Belouizdad.
0 Comments