Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Muleba tarehe 08 Juni 2022.
Mhe. Rais Samia ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Kagera kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi.
0 Comments