Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipokuwa akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2022. Rais Samia alikuwa akifuatilia hotuba hiyo ya Bunge wakati akiwa Muscat nchini Oman
0 Comments