Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Maafisa mbali mbali wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiagana na Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakati akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za maiaka 60 ya nchi hiyo akimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan .[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za maiaka 60 ya nchi hiyo akimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan .[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteta na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za miaka 60 ya nchi hiyo akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman.[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.
0 Comments