Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Mhe. Balozi. Onyango Kakoba alipomtembelea leo Juni 21, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kuanzia kulia ni Wajumbe wa Jukwaa hilo kutoka Bunge la Tanzania, Mhe. Mhandisi. Ezra Chiwelesa, Mhe. Najma Giga na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa ofisi ya Bunge, Ndg. Daniel Eliufoo
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Mhe. Balozi. Onyango Kakoba alipomtembelea leo Juni 21, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Mhe. Balozi. Onyango Kakoba (kulia kwake) alipomtembelea leo Juni 21, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Wengine ni Wajumbe wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu kutoka Bunge la Tanzania na Maafisa Waandamizi kutoka Ofisi ya Bunge.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza Wajumbe wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu kutoka Bunge la Tanzania katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jukwaa hilo, Mhe. Balozi. Onyango Kakoba (kulia) yaliyofanyia leo Juni 21, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Mhe. Najma Giga akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Kibunge la Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Mhe. Balozi. Onyango Kakoba (hayupo kwenye picha) alipowatembelea leo Juni 21, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mjumbe wa Jukwaa hilo, Mhe. Mhandisi. Ezra Chiwelesa
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments