Ticker

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU CCM


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana leo tarehe 21 Juni 2022, Ikulu Chamwino Dodoma.

Post a Comment

0 Comments