Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kulia) akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati) na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula (Mb), bungeni jijini Dodoma.


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, bungeni jijini Dodoma.


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiteta jambo na Mbunge wa Makete, Mhe. Festo Sanga, bungeni jijini Dodoma.


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande, akiwasilisha mezani Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2022/2023, bungeni jijini Dodoma.

(Picha na Kitngo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Dodoma)

Post a Comment

0 Comments