Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akionesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23 alipowasili katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akionesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23 alipowasili katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akionesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23 alipokuwa akiingia bungeni, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimuonesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Bungeni, jijini Dodoma.
Baadhi ya wageni wakisikiliza hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akisikiliza kwa makini Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kushoto) na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Bw. Daniel Chongolo, wakifuatilia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23
(Picha na Peter Haule WFM, Dodoma)
0 Comments