Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk N. Mbarouk akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk N. Mbarouk na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wao baada ya mazungumzo yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye
Ujumbe wa Tanzania katika ukifuatilia mazungumzo kati ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mindi Kasiga na anayefuatia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Bi. Talha Mohammed
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wao baada ya mazungumzo yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam.
Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mindi Kasiga akieleza jambo wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajimana na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wao baada ya mazungumzo yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bibi Mary Makondo akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam.
Ujumbe wa Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant ambaye unamjumuisha Balozi wa nchi hiyo hapa nchini, Mhe. Pamela O'Donnell (wa kwanza kulia) ukifutatilia mazungumzo kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bibi Mary Makondo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant
Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bibi Mary Makondo
Mazungumzo kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bibi Mary Makondo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant yanaendelea.
0 Comments