AMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongozana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 15 Aprili 2022 wameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma.
Ibada hiyo imeongozwa na Padri Gilbert Magidale.
0 Comments