**************************
Serikali imeiagiza shirika la Reli Tanzania TRC kuhakikisha wanaKamilisha Mradi wa Reli ya kisasa wa Umeme ya SGR Kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro kwa wakati ili watanzania waweze kunufaika na Mradio huo .
Hayo amesema Jijini Dar es salaam Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa Wakazati akizingumza mza na Waandishi wa Habari juu ya ziara alioyo ifanya ya Ukaguzi wa Maendeleo ya Mradi wa Reli ya kisasa ya SGR ya Morogoro na Dar es salaam.
Profesa Mbalawa amesema kuwa kama Serikali na Watanzania wanahitaji Ujenzi huo ukamilike kwa Wakati ili waweze nufaika na Mradio ambao utatoa Fursa Mbali Mbali zitakazo jitokeza ikiwemo Biashara.
Aidha Profesa Mbalawa amesema Serikali imedhamilia kuimalisha Sekta ya miondombinu hapa nchini ikiwemo kuboresha Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ili watanzania wapate huduma njema katika Sekta ya Uchukuzi
Naye Mkurugenzi wa shirika la Reli Tanzania TRC. Mhandisi Masanja Kadogosa amesa kuwa Ujenzi huo umekamilika kwa Asimia 95.3 na Wana tarajia kumamilisha Mradi huo hivi karibuni ili waweze kutoa huduma kwa Wakati na Watanzania wanufaike na Mradi huo.
Ameongeza za kuwa Ujenzi ulio umebaki hasa ni kwenye vituo vya kuunganisha umeme na maeneo ya Kona pamoja na Bandarini hivyo mara baada ya kukamilisha maeneo hayo reli itaanza mara moja kufanya kazi.
0 Comments