Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino leo tarehe 29 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Austria Mhe. Celestine Mushy, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022. Kwa mara ya kwanza Tanzania imefungua Ubalozi mpya katika nchi hiyo na Balozi Mushy anakuwa Balozi wa kwanza nchini Austria.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Austria Mhe. Celestine Mushy, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022. Kwa mara ya kwanza Tanzania imefungua Ubalozi mpya katika nchi hiyo na Balozi Mushy anakuwa Balozi wa kwanza nchini Austria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino leo tarehe 29 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Uganda aliyemaliza muda wake hapa nchini Mhe. Tumusiime Kabonero, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda aliyemaliza muda wake hapa nchini Mhe. Tumusiime Kabonero, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022.
0 Comments