Ticker

6/recent/ticker-posts

PAC YAKAGUA MRADI WA MAGOMENI KOTA AWAMU YA PILI


Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Japhet Hasunga (Mb), akizungumza jambo na wajumbe wa kamati hiyo, wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya kukagua mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili, unaohusisha ujenzi wa nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi wa umma mkoani Dar es Salaam ambao unagharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022.Naibu Katibu Mkuu Ujenzi Ludovick Nduhiye akifafanua jambo, kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya kukagua mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili, unaohusisha ujenzi wa nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi wa umma mkoani Dar es Salaam ambao unagharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022.

Muonekano wa mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili mkoani Dar es Salaam, ambao ni ujenzi wa jengo la sakafu nane, litakalokuwa na uwezo wa kuchukua kaya za watumishi wa umma 16, ujenzi wake unagharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakikagua mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili, ambao ni ujenzi wa nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi wa umma mkoani Dar es Salaam ambao unagharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakitoka kujionea kukamilika kwa Mradi wa Magomeni kota awamu ya kwanza, walipofika katika eneo hilo kukagua utekelezaji wa mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili, unaohusisha ujenzi wa nyumba za makazi ya watumishi wa umma mkoani Dar es Salaam na unagharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022

Naibu Katibu Mkuu Ujenzi Ludovick Nduhiye (katikati), akiwaongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kujionea kukamilika kwa Mradi wa Magomeni kota awamu ya kwanza, walipofika katika eneo hilo kukagua utekelezaji wa mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili, unaohusisha ujenzi wa nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi wa umma mkoani Dar es Salaam ambao unagharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Japhet Hasunga (Mb) akielekeza jambo kwa Mtendanji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA) Arch. Daud Kondoro (wa kwanza kulia), wakati walipofika eneo la Magomeni Kota kukagua mradi wa Magomeni Kota awamu ya pili, unaohusisha ujenzi wa nyumba za makazi ya watumishi wa umma mkoani Dar es Salaam unaogharimu Shilingi Bilioni 4.9. Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi Agosti,2022.

Picha na WUU

Post a Comment

0 Comments