Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili Orkesumet makao makuu ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kuzindua wiki ya maji leo tarehe 15 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akicheza wimbo wa kabila la wamaasai wakati alipofika Orkesumet makao makuu ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kuzindua wiki ya maji leo tarehe 15 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi, wadau wa sekta ya maji pamoja. na wananchi mbalimbali wakati akifungua wiki ya maji, uzinduzi uliofanyika Orkesumet makao makuu ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara leo tarehe 15 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akivishwa vazi maalum na kukabidhiwa fimbo maalum ya kabila la kimaasai kutoka kwa wazee wa mila wa kabila hilo mara baada ya kupewa hadhi ya Laigwanang na jina la Dkt. Philip Ole Mpango akiwa Simanjiro mkoani Manyara. Machi 15,2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasalimu wananchi wa Orkesumet wilaya ya Simanjiro mara baada ya kupewa hadhi ya Laigwanang wa kabila la kimaasai na kupewa jina la Dkt. Philip Ole Mpango leo tarehe 15 Machi 2022.
0 Comments