Ticker

6/recent/ticker-posts

SPIKA DKT. TULIA AZINDUA KADI MPYA ZA UANACHAMA ZA KIELEKTRONIKI ZA KLABU YA YANGA


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimkabidhi Waziri ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Cpt. George Mkuchika kadi namba moja ya uanachama ya kielektroniki kwa klabu ya Yanga katika hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika leo katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Februari 18, 2022


Waziri ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Cpt. George Mkuchika akimkabidhi jezi ya Klabu ya Yanga Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika hafla fupi ya uzinduzi wa kadi mpya ya uanachama ya kielektroniki ya klabu ya Yanga iliyofanyika leo katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Februari 18, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na viongozi wa Klabu ya Yanga na Wabunge wapenzi wa Yanga katika hafla fupi ya uzinduzi wa kadi mpya ya uanachama ya kielektroniki ya klabu ya Yanga iliyofanyika leo katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Februari 18, 2022, Kuanzia kushoto ni Mkurugenzi wa uwekezaji wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, Meneja wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Seif Gulamali (Mb), Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Yanga, Ndg. Senzo Mazingiza na Waziri ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Cpt. George Mkuchika (Mb)


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na viongozi wa Klabu ya Yanga na Wabunge wapenzi wa Yanga katika hafla fupi ya uzinduzi wa kadi mpya ya uanachama ya kielektroniki ya klabu ya Yanga iliyofanyika leo katika hoteli ya Nashera Jijini Dodoma, Februari 18, 2022, Watatu kushoto mbele ni Waziri ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Cpt. George Mkuchika, Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Tarimba Abbas (kulia mbele), na Meneja wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Seif Gulamali (wapili kulia

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments